Ezra 2:2

2
In order to format the table contained in this verse correctly, it has been necessary to move the content of some adjacent verses into it.
,
bwakiwa wamefuatana na Zerubabeli, Yeshua, Nehemia, Seraya, Reelaya, Mordekai, Bilshani, Mispari, Bigwai, Rehumu na Baana):

Orodha ya wanaume kati ya watu wa Israeli ilikuwa:
 3 cwazao wa Paroshi 2,172
 4wazao wa Shefatia 372
 5 dwazao wa Ara 775
 6wazao wa Pahath-Moabu (wa jamaa ya Yeshua na Yoabu) 2,812
 7wazao wa Elamu 1,254
 8wazao wa Zatu 945
 9wazao wa Zakai 760
 10wazao wa Bani 642
 11wazao wa Bebai 623
 12wazao wa Azgadi 1,222
 13 ewazao wa Adonikamu 666
 14wazao wa Bigwai 2,056
 15wazao wa Adini 454
 16wazao wa Ateri (kupitia Hezekia) 98
 17wazao wa Besai 323
 18wazao wa Yora 112
 19wazao wa Hashumu 223
 20 fwazao wa Gibari 95

Copyright information for SwhNEN